UKWELI USIOPINGIKA!
Mpendwa msomaji wa blog yangu ya NGWAKWA UFANISI,na ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa ikiwa ulikuwa unafuatilia kwa umakini utagundua kuwa kuna kitu utakuwa umaongeza katika nyanja za AFYA, UJASIRIAMALI, MAFANIKIO NA UONGOZI. Nimeandika makala zaidi ya 20 katika nyaja hizo na wewe ni miongoni mwa wasomaji wangu zaidi ya 1000 wanaliosoma makala hizo.
Ni UKWELI USIOPINGIKA kwamba hii inanitia moyo sana kuendelea kuandika zaidi nami nakushukuru kwa moyo wa dhati kabisa.
Ndugu msomaji karibu tena katika mwendelezo wa kiunga kingine cha makala ambazo nimekipa jina la UKWELI USIOPINGIKA.
Katika mwendelezo huu tutaangalia mengi kuhusu nguvu za asili (NATURAL LAWS) na kweli mbalimbali zilizojificha (AMAIZING FACTS) Ambapo zingine kuna uwezekano hukuwahi hata kuzisikia.
Ndugu msomaji mwendelezo huu ni wa muhimu sana na nakuahidi kuwa hutabaki kama ulivyo.
Unaweza kuweka email yako hapo chini sehemu iliyoandikwa #WEKA EMAIL KUIUNGA NA MTANDAO HUU# Nawe nitakutumia hizo makala za ukweli kila zitakapowekwa.
Ndimi
Lucas Robert
+255764075392
+255713056903
Email: lucastrngwakwa@gmail.com
"Live an inspired Life"
