TIBA ASILIA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Vidonda vya tumbo: Vitundu au vidonda ambavyo hupatikana katika mfumo wa chakula, mara nyingi huleta maumivu makali sana kwenye mfumo wa chakula.
Vidonda hivi hutokea pale ambapo utando wa uteute mzito unaolinda kuta za tumbo dhidi ya vimeng'enya (Enzymatic juices) unapokuwa haupo kwenye kuta za tumbo na matumbo, Hivyo kurihusu vimeng'enya hivi kutafuna seli za ukuta wa tumbo.
> Vidonda vya tumbo huweza kutibika kirahisi sana kwa kutumia njia za asili, lakini hali huwa mbaya sana na vidonda huwa sugu ikiwa tiba haitafanyika mapema na kwa usahihi.
NDIZI MBICHI.
Katika ndizi mbichi zilizokaushwa huwa kuna kitu kinaitwa SITOINDOSIDES Ambazo huongeza utando wa uteute kwenye mfumo wa chakula ambao hulinda kuta za tumbo na kusaidia vidonda kupona haraka. Pia ndizi mbivu huchochea ukuaji wa cell katika mfumo wa chakula. Ndizi mbivu pia ina wanga ngumu ambayo huweza kuyeyuka kwenye maji, wanga huu pia hupatikana katika dawa za kuzuia vidonda vya tumbo viitwavyo CARAFATE.
>Namna ya kuandaa tiba hii:-
Menya ndizi mbivu na uzikatekate katika vipande vidogo vidogo, Weka juani au jiko la umeme (Oven) na uvikaushe taratibu. Baada ya kukauka visage ili kupata unga.
MATUMIZI.
Chukua vijiko viwili vya unga huo kisha changanya na kijiko kimoja cha asali mbichi kisha tumia mara tatu kwa siku: Asubuhi, mchana na wakati wa kwenda kulala. Baada ya muda mfupi matokeo yake yataonekana.
>Tiba zingine za vidonda vya tumbo ni Maziwa, Asali ,pilipili hoho, Mboga za majani na vitunguu swaumu.
Katika somo linalofuata tutajifunza zaidi kuhusiana tiba hizi za asili za vidonda vya tumbo.
KUMBUKA: Matumizi ya Vitu vifuatavyo ni lazima yaepukwe ili kuondokana na tatizo la vidonda vya tumbo:
1. Matumizi ya kahawa ikiwemo DECAF
2. Vinywaji vyeny kaboni ikiwepi Soda.
3. Pilipili na Chilisosi
4. Vyakula vy kwenye makopo ikiwemo soseji.
5.Nyama nyekundu
6. Vyakula vilivyokaangwa sana.
Kwa sababu chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni mifumo ya ulaji, hata matibabu pia yanaweza kufanikiwa kupitia mfumo wa ulaji na chakula tunachokula. Ni lazima tuangalie kwa makini mfumo wetu wa ulaji na chakula tunachokula.
Lucas Robert
+255764075392
+255625605820
"Live an inspired life"