MAMBO MATANO (5) YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO/MIMBA.
Mambo matano yanayomfanya mwanamke kushindwa kushika ujauzito na kumnyima Furaha mwanamke ...
Na kama mwanamke atafanikiwa kuondoa mambo haya matano, Basi! Furaha Ambayo amekuwa akiitafuta kwa muda mrefu litakuwa Ni Jambo Lisiloepukika! Hata ukiweka fensi ya chuma bado Litatokea...
______________________________________________________________
✓Kumekuwepo story nyingi Sana na mitazamo tofauti kuhusu sababu zinazopelekea mwanamke kushindwa kuishi maisha ya furaha, kwa kushindwa kupata mtoto.
Kutokana na kushindwa kujua sababu hasa zilizojificha nyuma ya Jambo hili, Imepelekea wanawake wengi kunyanyasika na kuteseka kwa kushindwa kupata utatuzi wake hasa.
Tatizo la kuchelewa au kushindwa kupata mtoto kabisa limekuwa Ni Tatizo linalotesa wanawake wengi Sana siku hizi.
Wengi wametumia pesa Nyingi Sana, kununua Tiba mbalimbali za kisasa na za asili ili waweze kutatua changamoto za uzazi zinazowakabili lakini wameambulia patupu.
Wengine wamefika hata kwa Waganga wa kienyeji Ambapo licha ya kutatua Tatizo huishia kuongeza tatizo!
Kinachotafutwa hasa Ni Nini?
Kinachotafutwa Ni mtoto! Kwani wengine husema 'mwanamke bila mtoto amekufa' Kauli Ambayo wale wasiokuwa na mtoto huwafanya wapate maumivu mara dufu.
Imefikia hatua mpaka mtu unakufuru, Unajihisi kuwa na hatia, Mme hakutaki Tena, maana wakwe wamechachamaa, Mawifi na masehemeji ndo usiseme, Dharau Kama zote.
Inafikia hatua unajiuliza "Hivi Mimi nimemkosea Nini Mungu?"
Nataka nikwambie kuwa, Hakuna ulichomkosea Mungu!
Isipokuwa tu ulikuwa hujafahamu kuhusu vizuizi vya wewe kupata mtoto.
Najua unatamani Sana kujua Kujua sababu hizo Ni zipi!
Acha nisikuchelewesha! Nipe Dakika mbili tu Nikufahamishe moja baada ya nyingine.
Utafiti wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa Akina Mama (FIGO) mwaka 1990 ulionesha kuwa kuna sababu Kuu Tano (5) za mwanamke kutoshika mimba. Nazo Ni Kama ifuatavyo:-
1.KUVURUGIKA KWA KIWANGO CHA TINDIKALI - pH KWENYE MFUMO WA UZAZI.
pH Ni kiwango Cha Tindikali (Acid) au Nyongo (base).
NB: Tindikali (Acid) = pH 1-6
Nyongo au Alikali (base) = pH 8-14
Kikawaida uke unapaswa kuwa na PH kati ya 3.8 hadi 4.5, Japo kuwa inaweza kubadilika kutokana na umri. Kwa mfano kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 hadi 49) PH ya uke inapaswa iwe 4 hadi 4.5 ila siku chache kabla ya hedhi na baada ya ukomo wa hedhi inaweza kuwa Zaidi ya 4.5.
>PH ndogo inamaanisha Acid, hali ya uke kuwa na PH ya Acid inaukinga uke, inasaidia kuzuia wadudu bakteria na fangasi kukua kwa kasi na kusababisha magonjwa kama Fangasi za ukeni.
P.S Haitakiwi kuwa ndogo sana chini ya 3.8
♥️Uke ukiwa na PH kubwa sana inayoelekea kwenye nyongo (base)/Zaidi ya 5 Inatengeneza mazingira mazuri ya bakteria na fangas wa ukeni kukua kwa kasi bila mpangilio na kusababisha matatizo ikiwemo harufu mbaya ya uke n.k
Kuwa na PH kubwa inakuweka kwenye hatari ya kupata matatizo yafatayo:-
✓Maambukizi ya bakteria (BACTERIAL VAGINOSIS)
✓ Maambukizi ya Fangasi (YEAST INFECTION)
✓ Maambukizi katika mfumo wa mkojo (Urinary tract infection)-U.T.I
UHUSIANO ULIOPO KATI YA pH KWENYE MFUMO WA UZAZI NA KUSHINDWA KUPATA MTOTO:
Najua hapa ndipo ulipokuwa unasubiri.!
Kama tulivyoona kikawaida uke wenye afya nzuri unapaswa kuwa na PH kati ya 3.8 hadi 4.5.
Ukiwa na PH chini ya 3.8 (more acidic) Haisababishi magonjwa ila inapunguza uwezo wa kushika mimba. Kwani mbegu za kiume zinaweza kustaimili PH ya kawaida sawa na maji yaani PH kati ya 7.0 hadi 8.0 ndio maana wakati wat endo la ndoa uke utengeneza ute ili kuongeza PH ya uke mbegu zikiingia zisife.pia Majimaji yanayotangulia kutoka kwa mwanaume (semen) huwa na kazi hiyo pia kupunguza hali ya acid ya uke.
♥️Kwa hiyo Asidi ikizidi kwenye uke basi hupelekea mbegu kufa zikiingia kwenye uke. Havyo mwanamke kushindwa kutunga Mimba.
NB: pH inaweza kuwa sawa lakini Kama majimaji wakati wa tendo la ndoa hayatoki Kunakuwa na uwezekano mdogo Sana wa kutunga Mimba kwani mbegu Nyingi hufa kwa kushindwakuogelea.
2.MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI
Maambukizi katika mfumo wa kizazi maarufu Kama P.I.D Ambayo Ni kifupisho cha maneno Pelvic inflammatory disease Ni miongoni mwa sababu Nyingine kubwa ya mama kushindwa kupata mtoto.
Acha nitumie muda kidogo hapa, kwa sababu ya madhara yake makubwa!
Tafiti zinasema kati ya wanawake nane waliowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida ya kutokupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati.
Nini kinasababisha PID??
Wataalamu wa afya wanaamini kwamba magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasahasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID pasipo magonjwa ya zinaa. Pengine kutokana na maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis)
Kama Mambo yafuatayo yanakupata Jua kabisa Kuna uwezekeno mkubwa Una maambukizi kwenye mfumo wa uzazi yaani P.I.D:-
✓Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto
✓Sehemu za uke kuwa na ulaini sana na hata kupekekea michubuko kwa Haraka.
✓Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupelekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa
✓Kuvurugika kwa hedhi
✓Kutokwa na Uchafu ukeni hasa wenye rangi ya njano na kijani
✓Maumivu wakati wa kukojoa
✓Kupata maumivu wakati wa choo
✓Kupata dalili za homa kama kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.
"Kwa Nini P.I.D Ni kizuizi kikubwa katika harakati za mwanamke kupata mtoto?
Niseme hili Kwanza! Kadri unavoumwa zaidi PID ndivyo hatari ya kupata ugumba inavoongezeka. Mimba kutokea nje ya mfuko wa mimba ni ishu kubwa ya kiafya na inahitaji uangalizi mkubwa wa kidaktari ili kuzuia kuvuja kwa damu na hatimae kupelekea kifo kwa mama. Madhara mengine ya PID ni
№1. Kupata majeraha kwenye mirija ya uzazi, majeraha yanaweza kutokea nje ama ndani, tatizo hili linaweza kuwa gumu kutibika na hutokea tu pale ambapo maambukizi hayakutibiwa kwa muda mrefu zaidi.
Makovu yanayotokana na kupata majeraha katika mji wa uzazi huweza kuwa sababu Nyingine ya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwanu kijusi hushindwa kujishikiza vizuri katika kuta za MJI wa Mimba
№2. Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi(hydrosalpinx) kutokana na majeraha ya tishu zake.
Jambo hili hufanya mbegu za mwanaume kushindwa kusafiri kufuata yai na Hivyo kuzui urutubishaji wa yai na Hivyo kushindwa kupata ujauzito.
3.MAYAI KUSHINDWA KUPEVUKA
Katika utafiti huo, iligundulika kuwa 30-40% husababishwa na hitilafu ya kupevuka mayai kitaalam huitwa Ovulatory Factor. Sababu nyingine zilielezwa kuwa ni hitilafu za ukuta wa uzazi, yaani Endometriosis au mwanamke kuwa na uvimbe kwenye mji wa uzazi.
➡️Sababu ya matatizo yanayosababishwa na kupevuka kwa mayai au kutotolewa kwa mayai au kutoka kidogo sana, hutokea baada ya vichocheo vinavyoitwa "Hormone" ya Godotrophins Relising Hormone kutoka sehemu ya tezi la kwenye ubongo ujulikanayo kama Hythalamus kunakosababishwa na tezi kutofanya kazi vizuri.
Kwa sababu hiyo, mayai hutolewa kidogo au kutotoka kabisa na kusababisha baadhi ya wanawake kutoenda kwenye siku zao za hedhi wakati muda wa kufanya hivyo haujafika.
4.KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI
Sababu nyingine zinazofanya mwanamke kushindwa kushika mimba huwa ni kuziba au kuwa na upenyo mdogo wa kusafirisha mayai kutoka kwenye tezi la mfuko wa uzazi, lijulikanalo kitaalam kwa jina la Ovary.
Hali hiyo ya kuwa na upenyo mdogo husababishwa na maambukizi ya bakteria kwenye mirija pamoja na mji wa mimba na tatizo hilo kitaalam huitwa Pelvic Infections. Mwanamke akiwa na tatizo hili atajisikia maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa.
➡️Hali hiyo ya kuwa na upenyo mdogo husababishwa na maambukizi ya bakteria kwenye mirija pamoja na mji wa mimba na tatizo hilo kitaalam huitwa Pelvic Infections.
Mwanamke akiwa na tatizo hili atajisikia maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa na wakati wa siku zako.
5.HITILAFU KWENYE MJI WA UZAZI.
➡️Wanawake wengine hushindwa kupata mimba kutokana na kuwa na hitilafu kwenye mji wa mimba, kama vile kuwa na uvimbe kwenye kizazi au vinyama kuota kwenye mji huo wa uzazi Endometritis au kuwa na matatizo ya kuzaliwa nayo ya mji wa uzazi kuwa mdogo sana.
➡️Hitilafu nyingine Ni kasoro katika shingo au mlango wa uzazi kitaalam huitwa Cervical Factors, kama vile maumbile yasiyo ya kawaida, jambo ambalo husababisha usumbufu mji wa kizazi kuwa mbali na uke, hivyo kusababisha ucheleweshaji wa kusafirisha mbegu za kiume Sperms.
P.S Hata Kama umezunguka na kuhangaika kiasi gani, Kama ukiyaondoa hayo matano tu, Swala la Kupata mtoto Ni jamba lisilopingika.
Furaha yako ya kuwa na mtoto wako mwenyewe, Kupakata kitoto chako kichanga katika mikono yako mwenyewe na kuwa mama mwenye Furaha Imejificha Nyuma ya mambo hayo matano.
Ni Rahisi tu Namna hii! Unaweza kushangaa kutokana Namna ambavyo unehangaika muda mrefu pasipo mafanikio, Unajiuliza inawezekanaje na kwa Nini hukuyajua haya mapema?
Ni Kama nakuona unavyotamani Kujua namna ya Kurekebisha pH ukeni bila kutumia dawa, Namna ya kuondoa PID bila kutumia Nguvu, Kuondoa Uvimbe pasipo upasuaji, Namna ya kukomaza mayai kwa kutumia chakula na kurekebisha kasoro zilizopo katika mfumo wa uzazi..
Usihofu!
FANIKIWA na AFYA YAKO kwa kutumia program ya MWANAMKE AFYA Tutakusaidia kuondokana na changamoto yako ndani ya siku 45 tu.
Huu ndio wakati wako wa kuwa mwanamke wa Aina unayotaka, Yaani mwanamke anyejiamini muda wote, Mwanamke mwenye furaha na familia yake, Mwanamke mwenye Uhuru na mchapakazi.
Nipo hapa kwa muda tu, Na jukumu langu kubwa Ni moja tu: Kuhakikisha unaondokana na changamoto ya kukosa mtoto, msongo wa mawazo na kukosa kujiamini na Kukufanya Ufurahie maisha yako na kuwa vile unatamani kuwa.
Sehemu yako ya kufanya Ni ndogo saanaa, Nipatie changamoto yako na Mimi nitakupatia suruhisho lake ndani ya siku 45 tu.
Cha kufanya, Gusa link hapa Chini Ambayo itakuleta moja kwa moja kwenye uwanja wangu wa message WhatsApp
https://wa.me/message/VQBA7BVUJWUKA1
Au piga simu number 0764075392/0786216172
___________________________________________________________
Niandikie ujumbe Kama Hivi
"Nataka kuwa mwanamke mwenye furaha, Nataka kuwa huru dhidi ya Magonjwa, Nirudishe furaha yangu niyoipoteza muda mrefu"
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hongera Sana kwa Uamzi ulioufanya, Sasa jukumu lako Ni moja tu, Chukua program ya MWANAMKE AFYA Subiri matokeo na Ufurahie maisha.
_________________________________________________________________
Kwa Ushauri BURE na Tiba piga Simu/WhatsApp +255764075392.

