Ticker

6/recent/ticker-posts

UBAYA WA BIASHARA MTANDAO (Network marketing) AMBAO WENGI HAWAUFAHAMU

 Huu Ndio Ubaya wa Network Marketing Nyingi ambao wengi hawaufahamu...

Network marketing Ni biashara ambazo zinahusisha mtandao, yaani Uhusianao Kati ya mtu mmoja na mwingine,  katika biashara. Ni biashara zinazofanywa na watu Kama timu. 

Mafanikio katika biashara za mtandao (Network marketing) hutegemea Sana Ubora wa timu unayojiunga nayo na mfumo wa kampuni husika unayojiunga nayo...



NB: Biashara MTANDAO siyo sawa na Biashara MTANDAONI.

Biashara ya mtandao Ni Mojawapo ya biashara Bora Sana katika karne hii ya Ishirini na moja Kutokana na mapinduzi ya sayansi na teknolojia hii Ni Kutokana na sababu kuwa biashara hii inahusisha watu, Na huifanyi peke yake...

Kabla haujajiunga na biashara ya mtandaoni hakikisha unayajua haya:-

1.Mfumo wa ulipaji.

 Hakikisha unajua Namna ambavyo kampuni unayotaka kujiunga inalipa.... 

Kampuni Nyingi za biashara ya mtandao humtengenezea member mfumo wa kujilipa Kutokana na faida anazozipata Kutokana na kuuuza bidhaa za kampuni hiyo. Huku pesa Nyingine yote atakayoingiza inabaki kuwa ya kampuni na hapo ndipo mkataba wako unapoishia. 

Huu sio mfumo mzuri Sana wa ulipaji hasa katika nchi zinazoendelea. Kampuni ya biashara mtandaoni lazima iangalie masilahi ya members wake kwa kuweka utaratibu unaomuwezesha kujilipa Kutokana na faida na kulipwa mwisho wa mwezi Kutokana na kazi aliyoifanya mwezi mzima.


2.Kulipwa Kutokana na wale uliowashirikisha au kuwaalika.

Hakikisha unajua Namna utakavyolipwa Kutokana na wale uliowaalika au kuwashirikisha kwenye biashara hiyo... 

Katika kampuni Nyingi za biashara mtandao huwa wanakulipa kamisheni Hadi kizazi Cha tatu tu Cha watu waliochini yako. Baada ya hapo haunufaiki chochote na wale watakaoendelea kuja chini yako. Hiki Ni Mojawapo ya kitu kibaya Sana Kwa sababu wale watakaoendelea kuja chini yako wewe ndiye uliyesababisha kwa hiyo Unatakiwa kulipwa. 

Kwa hiyo kampuni Bora Ni ile Ambayo itaweza kukulipa Kutokana na wale waliopo chini yako katika vizazi vyote....

3. Ushirikiano miongoni mwa wanachama.

Hakikisha unajua Namna timu inavyoshirikiana, hasa inavyowasaidia members wapya...

Kuna kampuni zingine zinahitaji Kila anayejiunga natakiwa atengeneze timu yake. Jambo hili linasababisha wengi wa wanaojiunga kushindwa kwa sababu ya kukosa maarifa na uelewe kuhusu biashara hiyo Kutokana na kuwa wageni. Network marketing Nzuri Ni ile ambayo inamsaidia mgeni kwa kumfundisha na kumpatia mwongozo kwa vitendo Ni kwa Namna gani anatakiwa kufanya ili afanikiwe. 

Ukipata kampuni yenye mfumo wa Namna hii hapo usijiulize mara mbili, Join the team.

Kuwafanya wafanya biashara kuwa Machinga.

Hakikisha Network marketing unayotaka kujiunga haikufanyi wewe kuwa machinga wa kutembeza bidhaa...

Maana ya biashara ya mtandao Ni kwamba imesambaa au inamtandao mkubwa, kiasi kwamba ukipata mteja Yupo kigoma siyo lazima umtumie bidhaa kutoka Dar es salaam, Bali unauwezo wa kumtumia bidhaa kutoka ofisi za kampuni zilizo karibu na wewe ukapata kamisheni yako huko huko ulipo. Ukipata bishara ya mtandao nayokuruhusu kumhudumia mteja Hata ukiwa mbali hii siyo ya kuiacha.



4. Uhuru Kuumiliki ofisi binafsi.

Hakikisha unajua Kama Unaweza kuruhusiwa kuwa na ofisi yako binafsi ya kutoa huduma za kampuni...

 Kampuni Nyingi za biashara mtandao haziruhusu mtu binafsi kumiliki ofisi, Ofisi zote zinamilikiwa na kampuni tu na members wao wanatakiwa kwenda kununua bidhaa ofisini kwa Bei ya punguzo na kwenda kuuza kwa Bei ya juu ili wapate faida yao. 

Kampuni inayojari members wake lazima iwape Uhuru wa kufungua ofisi zao na yenyewe iwapatie bidhaa waziuze kwa Bei wanayotaka na pia iwalipe posho kwa kumiliki ofisi inayosaidia kuuza bidhaa zao.

5.Uwepo Bidhaa zenye Ubora.

Hakikisha kampuni ya Biashara mtandao unayotaka kujiunga inatengeneza bidhaa zenye Ubora unaokubarika na mamlaka za nchi husika. Zipo kampuni Nyingi zinazodai kuwa Ni kampuni za biashara mtandao kimataifa na huku hazina viwango vya Ubora ulingana na nchi husika na zinaingiza bidhaa zake kinyemela. 

Hakikisha Ubora wa bidhaa unazotarajia kuanza kuziuza umethibitishwa na mamlaka husika na ikiwezekana upate shuhuda zinazoonesha watu walionufaika na bidhaa hizo.



6. Urithishwaji wa Biashara.

Hakikisha unajua Hatima ya biashara yako ikitokea umekufa au umepoteza uwezo wa kufanya kazi... Kazi ndiyo hairithishwi Lakini biashara Ni lazima iwe nauwezo wa kurithishwa.

Hatuombei kifo kitokee, Lakini Ni Jambo ambalo linaweza kutokea muda wowote. Kampuni Nyingi huwa hazina utaratibu wa kurithisha biashara ya mtandao, Ukifa na yenyewe inaishia hapo. Kampuni Bora ya biashara mtandaoni itaweka wazi utaratibu wa kumrithisha mtu mwingine kuendeleza biashara yako pale ulipoishia. Kwani kunauwezekano umeinufaisha kampuni kwa kuleta members wengine wengi walio letea kampuni faida, kwa hiyo kuruhusu mtu wako wa karibu kuendeleza ulipoishia Ni njia Mojawapo ya kutambua mchango wako na kulipa fadhila.

7. Malupulupu kwa wanachama.

Hakikisha unafahamu malupulupu mengine unayopaswa kupata ukiwa ndani ya biashara hiyo...

Biashara Nyingi za mtandaoni hazina utaratibu wa kuwalipa washirika wao malupulupu yoyote. Kampuni inayojali wateja wake lazima iwe na malupulupu mengine Zaidi ya mishahara mfano, malupulupu ya Safari, Makazi Bora, mavazi, na Hata bima za Afya.

8. Kikomo (Limit) ya malipo.

Hakikisha unajua kiwango Cha juu Cha kulipwa.

Kampuni Nyingi zinaweka kiwango Cha mwisho Cha kulipwa Bila kujali kazi unayofanya na faida kubwa unaoiingizia kampuni husika. Kampuni Bora Haitakiwi kukuwekea limiti ya kukulipa, wao wanatakiwa waweke vigezo tu vya kulipa kwamba Kila unapofanya X unatakiwa ulipwe Y ili Kila mtu apambane kufikia kiasi chochote anachotamani kufikia hata Kama Ni billion moja. Biashara ya mtandao inatakiwa kumpa Uhuru mwanachama wake kuamua kiwango  Cha mafanikio anayotaka kuyafikia haijalishi amejiunga lini na sio kuwanufaisha waliotanguli.


9. Uhuru katika kufanya Biashara

Hakikisha unajua kama unaweza kuifanya kwa muda wako wa ziada au muda wowote...

Kampuni Nyingi zinambana mtu kufanya kazi muda wote Bila kupumzika na pasipo kuwa na Uhuru. Biashara ya mtandao Haitakiwi kuwa hivi. Inatakiwa kumpa mtu Uhuru wa kufanya kazi kwa muda wako wa ziada, Mfano: masaa mawili, matatu au manne kwa siku inatosha.


Mimi nimefanya uchunguzi kuhusu kampuni mbalimbali za biashara mtandao nikaja kugundua kuwa ipo kampuni moja tu Ambayo imefanikiwa kuepuka changamoto hizo zote nilizozieleza hapo juu. 

.......Kampuni hii Ina mfumo mzuri wa ulipaji, 

........inakulipa Kutokana na wale uliowashirikisha katika vizazi vyote.

 members wake Wana ushirikiano wa kutosha kwani hulipwa pia kwa kusaidia members wapya kufanikiwa,.....

Bidhaa zinazotengenezwa na kampuni hii Zina Ubora wa Hali ya juu Sana, zimethibitishwa na mamlaka mbalimbali nchini na duniani kote, zinatoa matokeo Bora Sana na Hii imetokana na sababu kwamba kampuni imejidhatiti Sana katika utafiti...

Networker siyo lazima atembeze bidhaa, kazi yake Ni kum-direct mteja sehemu ya kupata huduma halafu kampuni inamalizia mchakato unaobaki..........

Kampuni inamruhusu na inampa support mwanachama kumiliki Ofisi yake binafsi pasipo masharti magumu...........

Inao mfumo mzuri unaoruhusu biashara kurithishwa...... 

Kampuni inatoa malupulupu mengine mengi Kama vile tuzo za Safari, Tuzo za gari Kila Mwaka na Tuzo ya nyumba Kila unapofika ngazi ya 12......

Kampuni haina mipaka katika malipo, Kila mtu analipwa kulingana na kile alichofanyia Kazi....

Kampuni inampa mwanachama huru wa kufanya Kazi kwa wakati wake, Mahali popote wakati wote...... 


Haya yote unayapata si katika kampuni Nyingine, Bali ndani ya kampuni ya BF SUMA.

Kazi yangu Mimi Ni kukuonesha kile kilicho sahihi Kisha Wewe ufanye Maamuzi mwenyewe.

Kazi yangu Ni kupanda mbegu ndani yako, Kazi ya kuimwagilia, kuipalilia na kuitilia mbolea Hadi iote na kuzaa matunda...

_____________________________________________________________

Kwa maoni na Ushauri piga simu /whatsApp 0786216172


Au gusa link Hapa chini ili uweze kuza moja kwa moja katika uwanja wangu wa WhatsApp

https://wa.me/message/VQBA7BVUJWUKA1


Kila mmoja anastahili maisha Bora....

"Live an inspired Life"